Dj Rankim Ramadhan
Habari zilizotufikia hivi punde Dj mkongwe na mtangazaji wa redio Rankim Ramadhan amefariki jana jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Rankim Ramadhan aliweka stutus kwenye facebook siku chache kabla ya kifo
chake akisema "anasikia maumivu makali na hapo alipo hajala siku tatu
na madaktari wanasema Appendix ndiyo inayonisumbua" lakini habari toka
kwa marafiki wa karibu na Dj Rankim Ramadhani wansema marehemu alikua
anasumbuliwa na vidonda vya muda mrefu.