Search in This Blog

MAKOCHA WAKE ABDALLAH KIBADENI NA MSAIDIZI WAKE, JAMHURI KIHWELU WA KLABU YA SIMBA SC WATIMULIWA


Julio (kulia) na Kibadeni (kushoto) wameondolewa kazini. 
Julio na Kibadeni wameondolewa kazini baada ya kamati ya utendaji iliyokutana jana kufikia uamuzi kwamba wawili hao utendaji wao si sahihi.
Tayari Simba imekamilisha mazungumzo na kocha mwingine mzungu, si yule Bobby Willliamson ambaye aliandikwa na gazeti moja nchini kwamba ndiye kocha mpya wa Simba. CREDIT GPL
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger