Search in This Blog

MWANAMKE HUYU ABAKWA NA KUNDI LA WATU KISHA KUUAWA KINYAMA

Mwanamke mwenye umri wa miaka 46  , amedaiwa Kubakwa na watu wasiofaamika kisha kuuawa nchini Nigeria, mwishoni mwa wiki iliyopita.Kwa mujibu wa na mume wa marehemu, mke wake aliondoka nyumbani mapema   Ijumaa kwa ajili ya kwenda kutoa  huduma ya kanisa nyumbani kwa  mchungaji wake.

Inadaiwa kuwa Mwananke huyo alipigwa na kitu kizito kichwani baada ya tukio la ubakaji ndipo umauti ulipomkuta.

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger