Hivi wanawake ni watu wa aina gani?
naombeni ushauri jamani, nilikuwa na mpenzi akanisaliti akaenda kuolewa
na lijibaba nikatafuta mwingine,nimezaa nae mtoto mmoja natunaishi kwa
furaha.cha ajabu ameanza kunitumia mesegi,mojawapo imeandikwa hivi
nanukuu "Najua nilikukosea samahani sana ila
naomba umuache huyo mwanamke, amin nitamlea mtoto wako kama wakwangu
kumbuka unafahamika mpaka nyumbani familia yangu inanicheka kwa
nilichokifanya".huyu mwanamke ninayeishi nae kaona hiyo massage kaniambia nimsamehee na yuko radhi kuondoka....Sasa nifanyaje nishaurini
By Silvester Limota
