Hii ni barua ya polisi wa uingereza waliyoandikia polisi ya tanzania wakimtafuta lema akamatwe kwa kosa la ubakaji.
maelezo ya ziada ambayo uingereza walihitaji kutoka polisi ya Tanzania, ni haya hapa chini.
Ushahidi wa mbunge Godbless Lema kumbaka flora lyimo wazidi kubainika
Taarifa za kweli kuhusu mbunge wa Arusha
mjini Godbless Lema kumbaka mwanadada Flora Lyimo tarehe 8.8.2012
nchini Uingereza wakati wa ufunguzi wa tawi la chadema nchini humo
umezidi kubainika.
Tarehe 2 -3, january 2013 akiwa
tanzania, Flora aliwasilisha barua ya polisi wa uingereza kwa polisi
kituo cha Moshi mkoani kilimanjaro na kufunguliwa jalada
no.MOS/RB/17127/12.
Aidha tarehe 13/12/2012 Afisa upelelezi
DC William Hughes wa kitengo cha uhalifu jeshi la polisi la uingereza
kituo cha 4-6 shepherdess walk N17LF alifika ubalozi wa Tanzania nchini
uingereza ili kujua pamoja na mambo mengine,
-Taarifa sahihi za GODBLESS LEMA
-Anuani yake
-Barua pepe
Ushauri kutoka mamlaka za Tanzania juu
ya mikakati mizuri ya kushughulikia kesi hiyo ambayo inamuhusisha
kiongozi wa chama kikubwa cha siasa na
-Wasifu wake.
Mbali na tukio hilo kuripotiwa
ubalozini, vyanzo mbalimbali vya habari ikiwa ni pamoja na Gazeti la
changamoto la tanzania toleo namba 348 la tarehe 18- 24 desemba 2012
lilichapisha taarifa ya tukio hilo kwenye ukurasa wake wa mbele.kwa
kichwa cha habari "POLISI UINGEREZA WAMSAKA LEMA", Pia blog ya global
publishers ya nchini tanzania katika report zake za tarehe 14 mei 2013
iliandika habari hiyo kwa kichwa cha habari "MREMBO;MBUNGE AMENIBAKA"
Ambapo mrembo huyo (flora) alieleza alivyochaniwa na kufanyiwa kitendo
hicho. alieleza kuwa lema alikuwa amemsindikiza mpaka nyumbani na
walipofika LEMA aliomba aonyeshwe sehemu ya kujisaidia haja ndogo ndipo
alipomvamia Flora na kumchania nguo na kutekeleza azma yake hiyo ovu.
Flora amekuwa akionekana katika shughuli
mbalimbali za kijamii lakini ana wasiwasi kuwa anaweza kufanyiwa unyama
na LEMA wakati akiwa Tanzania kwa sababu anasema anamfahamu lema pia
kuwa ana asili ya ujambazi.
kiambatisho ni barua ya polisi wa kimataifa interpol kumweleza kuwa uchunguzi wa kesi yake unaendelea.

