Search in This Blog

SOMA ALICHOSEMA JOH MSKINI BAADA YA NDEGE ALIYOPANDA KUPATA HITILAFU IKIWA ANGALI



Joh makini ameandika maneno haya kwenye akaunti yake ya instagram baada ya kutokea kwa hitilafu kwenye ndege ambayo alikua amepanda...Thanx God wako salama..Tazama alichokisema hapa chini..

"Sijawahi kukutana na hitilafu ndege ikiwa angani duuu sio mchezo. Nashukuru Mungu rubani amefanikiwa kugeuza kurudi na kutua tena Dar salama tunasikilizia kupaa tena In God We Trust

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger