Search in This Blog

BIBI KIKONGWE AUWAWA KWA SABABU ZA IMANI ZA KISHIRIKINA WILAYANI KAHAMA, SAMAHANI KWA PICHA, KAMA NI MWOGA USIFUNGUE.

Wananchi wakiwa na uongozi wao wa Kijiji baada ya Tukio hilo la kutisha
Bibi Lucia alivyokatwa panga

Mama mmoja aliyetajwa kwa jina la Lucia Mgonga (55) mkazi wa kijiji cha Mega wilayani Kahama mkoani Shinyanga ameuwawa kwa kukatwa Mapanga na watu wasiojulikana.

Tukio hilo la kutisha limetokea Usiku wa kuamkia juzi majira ya saa mbili usiku wakati bibi huyo akiwa na wajukuu zake wakipata chakula cha jioni.


Marehemu akiwa katika eneo alilokuwa akila chakula na wajukuu zake
Marehemu amepoteza maisha baada ya kukatwa panga sehemu ya bega lake la kushoto na Shingoni.

Sababu ya mauwaji hayo inaelezwa kuwa ni imani za kishirikina.





 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger