Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami.
Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjaro.
Ajali
mbaya imetokea muda huu eneo la mto Wami na kusababisha Foleni kubwa
sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo.(usisahau kulike page yetu ya mdadisi mambo blog, bofya hapa)
Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hay o yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.