Roger ni rafiki na mfanya biashara mkubwa wa magari. Pia Roger Na Paul wana mmiliki kwa pamoja duka la magari na shughuli hio walio hudhuria ili husu kuchangisha pesa na kujitolea kupitia Organisation yao waliyoanzisha pamoja ya Reach out World Wide.
Roger ni mwanamichezo wa wa muda mrefu alikuwa akishindana kwenye mashindano ya gari ya kasi sana ndio maana imeshtua watu kusikia alikuwa dereva kwani wanaamini Roger kuwa ni dereva mzuri sana.(usisahau kulike page yetu ya mdadisi mambo blog, bofya hapa)
Gari waliyopata nayo ajali ni ya Roger Rodas.