Search in This Blog

FILAMU YAWASTARA YAINGIA RASMI MTAANI

Baada ya muda mrefu kupita hatimae filamu ya Wastara Sajuki imeingia mtaani rasmi jana Kupitia ukurasa wake facebook ameposti picha akiwa ameashika filamu hiyo mkononi na baada ya muda mashabiki wake wakaanza kumtumia picha wakiwa wameshika filamu hiyo Shaymaa inasambazwa na kampuni ya steps na ndani ikiwa imewashirikisha mastaa wengine kama Salm Jabu na Yusuph Mlela
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger