Search in This Blog

MAJANGA: TRENI LA MWAKYEMBE LAHARIBIKA, LASHINDWA KUONDOKA KWA TAKRIBANI SAA TATU POSTA


 Baadhi ya wananchi waliofika muda wa saa 11 jioni wakielekea kwenye treni la Mwakyembe. Hii imetokana na kutokea kwa hitilafu kwenye ingini ya treni hiyo. Tatizo hilo limepelekea usumbufu kwa abiria waliofika saa 10 na wengine kufika saa 9 lakini hakuna ufumbuzi uliotolewa kuhusu tatizo ilo.
Baadhi ya abiria wakiwa wamepumzika baada ya kukaa kwenye treni la Mwakyembe kwa muda mrefu. Abiria wanaotumia usafiri wa treni jijini Dar wamekwama kwa takribani saa tatu sasa kwenye stesheni ya Posta. Chanzo cha kutoondoka kwa treni hiyo inasemekana ni hitilafu kwenye moja ya vichwa vya treni hiyo hivyo kusababisha kutoondoka kituoni hapo. Abiria wengi wamekwama na wanalalamika bila kupata majibu ya uhakika kutoka kwa uongozi wa TRL.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger