Search in This Blog

MGOMO WA MADAKTARI KENYA

Kenya imeanza sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa taifa hilo huku wananchi wake wakitaabika na adha ya kupata matibabu kutokana na mgomo wa madaktari ambao leo hii unaingia siku yake ya pili.
Madaktari nchini Kenya wadai maslahi bora Madaktari nchini Kenya wadai maslahi bora
Madaktari wanaishinikiza serikali wapate maslahi bora kwa mujibu wa katiba mpya ya taifa hilo. Kutoka mjini Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya, Barack Muluka na kwanza alitaka kujua nini hasa kiini cha mgomo huu wa sasa. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger