Search in This Blog

MSANII WA KENYA AAMUA KUMRUDIA MUNGU

Kumekupo na hali ya sintofahamu kwenye tasnia ya burudani nchini Kenya iwapo mwanamuziki mrembo wa Kenya, Cecilia Wairimu aka Amani naye amefuata nyayo za wasanii wengine wa nchini humo wakiwemo Size 8 na Bamboo kwa kuamua kuokoka.
Tangu apost ujumbe Facebook wa maombi kwa Mungu, blog nyingi za Kenya zimehoji kama msichana huyo naye anakaribia kumpiga mateke shetani kama alivyofanya Size 8.
My Prayer...Father, I have long admired Joseph for his trust in you — a trust that helped him deal with what he could not understand. Now I come, with wild-eyed Joseph excitement and bewilderment to be reminded again of the miracle of your Son and my Savior. Please make him real to me as I seek to know him better. In Jesus' name. Amen,” aliandika Amani.
Ukweli utajulikana.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger