Search in This Blog

MWANA FA AMUONGELEA NGWAIR, SOMA ALICHOANDIKA HAPA

Ni miezi 7 sasa tangu Tanzania impoteze mmoja wa rapper wakali zaidi kuwahi kutokea Tanzania, Albert Mangwair. Miongoni mwa watu waliowahi kuwa karibu naye ni pamoja na Mwana FA ambaye anadai aliwahi kumwambia kuwa kwenye kichwa chake ana zaidi ya Range Rover nne japo hataki tu kuzichukua. Leo FA amepost picha ya mwaka 2010 inayomuonesha akiwa na Ngwair, Songea.
b8203d365db211e3b0011203b0247fd0_8 “Been thinking of him a lot leo…so was like,I might as well repost this…Songea 2010,me n my ninja,Cowboy Albert ‘Ngwea’…RIP..you’re missed hommie…I’ll mourn you till I join u brethren…pumzika son,” ameandika FA kwenye Instagram.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger