Leo ni siku ya kuzaliwa kwa miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu hapa nchini Jacklyn Wolper.
Kupitia kwenye instagram Desemba 6 amepost picha ambayo ikionesha
amenusurika kuumia baada ya kuondoa gari lake kwa kasi na kupelekea
kugonga tanki la maji na kusababishaa ajali.
Huu ndio ujumbe wake 'dah
kuzaliwa cku moja na kufa ni cku moja nando maana kila cku nasisitiza
upendo na chuki zisizokua na sababu.hvii leo ni bthday yangu lakn
nilikua nauvaa ukuta wakat nasogeza gar ioshwe tayar kwa maandaliz
.wakat nakanyaga brk kumbe nakanyaga mafuta maskn ya mungu nimebomoa
matnk ya maji yote nimepasua mabomba yote nimegonga gar nyingne but yote
nikumshukuru mungu kwakua sijaumia ila prsh ilishuka kidogo but now npo
ok.asante mwenyezi mungu,mungu wa wote,kimbilio la wote na wewe ndo
kimbilio langu.niombeeni maskn'Aliandika Wolper
Hii ndio picha aliyopost.