PICHA:BASI LA URAFIKI LILILOKUA LIKITOKA IRINGA KUELEKEA DODOMA LAPATA AJALI.
Wakazi
wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini
wakiangalia ajali ya Basi la abiria la Urafiki T 594 ABM lililoanguka
kijijini hapo jana likitokea Iringa kuelekea Dodoma.