Tyrese
alifika eneo la tukio alipopata ajali Paul Walker kwa ajili ya
kuomboleza kifo cha actor huyo, mara tu alipofika eneo hilo Tyrese
alibubujikwa na machozi na kisha kuweka maua na kuondoka eneo hilo bila
kuongea na mtu yoyote.