VIDEO: HII NDIO VIDEOINAYOONYESHA HELKOPTA YA MAREKANI ILIVYOANGUAKA
NTV wameripoti kwamba Helicopter hii ya polisi ilianguka maeneo ya
Waa huko Kenya December 30 2013 baada ya kupata matatizo ya kiufundi
ambapo walijeruhiwa watu watatu waliokuwemo ndani yake ambao wote
waliokolewa na kukimbizwa hospitali