Mzee Chiro akiwa na Wastara Hata hivyo Wastara alisema baada ya shughuli ya leo. dua rasmi ya marehemu Sajuki itafanyikia nyumbani kwao Songea, January 2, 2014.
Wasanii wa filamu na wadau mbalimbali walijumuika.
Wastara na Flora Mvungi
Dua ikisomwa


Picha kwa hisani ya Wastara