Search in This Blog

ANGALIA VIDEO YA MAN UTD ALIVYOFUNGWA NA SUNDERLAND HAPO JUU


Fabio Borini akishangilia baada ya kuifungia Sunderland bao la pili kwa njia ya penalti kipindi cha pili dakika ya 64.
Nemanja Vidic wa Manchester United akifunga bao la kusawazisha kwa timu yake na kufanya matokeo kuwa 1-1 katika dakika ya 52.
Sunderland wakishangilia bao lao la kwanza alilojifunga Ryan Giggs dakika ya 45.
Fabio Borini wa Sunderland (kulia) na Patrice Evra wakikwaana wakati wa mechi hiyo.
Timu ya Manchester United imepokea kipigo kingine cha bao 2-1 kutoka kwa Sunderland katika mechi ya Nusu Fainali Kombe la Capital One na kuwa mchezo wa tatu kufungwa timu hiyo mfululizo baada ya awali kufungwa na Tottenham na Swansea katika Ligi Kuu ya England na Kombe la FA. Mechi ya marudiano itapigwa Old Trafford Januari 22 mwaka huu.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger