Search in This Blog

HAYA NDIO MAANDALIZI YA MAZISHI YA DK MGIMWA IRINGA,


 
 Hapa  ndipo  nyumbani  alipozaliwa na alipokuwa akiishi  aliyekuwa  waziri  wa fedha na mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr Wiliam Mgimwa na ndipo atazikwa hapa

Hii ndio nyumba ya  waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  iliyopo jimboni Kalenga ambako ndipo alipozaliwa ikiwa na bendera   ikipepea  nusu mlingoti


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

Hii  ni  nyumba anayoishi mama yake  ambayo  ipo  jirani na yake
Wanachama wa CCM wakibadilisha  bendera  nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa fedha  jioni ya  leo .usikose  kujua habari  zaidi  kesho  juu ya maisha ya  waziri Dr Mgimwa.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger