Search in This Blog

MAYA ALA RUSHWA ZA KWENYE UCHAGUZI WA BONGO MUVI, ASAKWA NA POLISI ILI SHERIA IFUATE MKONDO WAKE

BAADA ya kuzagaa kwa habari kuwa viongozi wa kamati ya uchaguzi wa Klabu ya Bongo Movie wamebwia rushwa, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ameibuka na kukanusha taarifa hizo.
Mayasa Mrisho ‘Maya’.
Mara baada ya kumalizika kwa uchaguzi huo uliofanyika Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar na kumtangaza Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ kushinda nafasi ya uenyekiti, baadhi ya wasanii waliibua minong’ono kuwa kamati ya uchaguzi ‘ilipozwa’ ili kupindisha matokeo.
“Hatukuchukua rushwa kutoka kwa mtu yeyote, uchanguzi ulikwenda vizuri na kila kitu kipo katika rekodi, anayetaka kuonyeshwa mfumo mzima wa kura atuone,” alisema Maya.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger