Search in This Blog

MOTO MKUBWA ZANZIBAR KUATHIRI ZAID YA NYUMBA 100

Taarifa ilotufikia muda mfupi kua shoti ya umeme imeathiri nyumba takribani 100 katika mji wa Pemba kijiji cha Shumba mjini na mpaka hivi sasa hakujawezekana kuzimwa kwa moto huo kwa kutopatikana gari la kuzimia moto huu ni msiba mkubwa kwa ndugu zetu naomba tuwatakieni dua ili Allah awahafifishie mtihani huo.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger