Search in This Blog

TASWIRA YA JIJINI DAR KWENYE ADHA YA USAFIRI


 Wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar wakiwa kwenye kituo cha basi cha Mbezi mwisho asubuhi hii kusubiria usafiri wa kwenda mjini Dar es salaam kwa shughuli mbalimbali. Hali kama hii utaikuta maeneo ya Mbagala, Gongo la Mboto, Temeke Mwisho na kwingineko katika muda huu. Jioni halihii huonekana Posta Mpya, Mnazi Mmoja na Msimbazi. Je, nini kifanyike kupunguza adha hii? Na hao ni abiria wa mabasi, bado wenye magari binafsi na usafiri mwingine, wote wakielekea katikati ya jiji.
 Kibaha Picha ya Ndege
 Nyomi ya Mbezi Mwisho
 Hapa ni Mbezi Mwisho asubuhi hii
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger