Search in This Blog

VIBAKA WAWILI WAPIGWA KICHAPO CHA NGUVU NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI HADI KUFARIKI, ANGALIA HAPA

1557571_562004543891688_415853806_n
Wananchi wenye hasira kali Kiwalani wakitoa kipigo cha Mbwa Mwizi kwa Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa ni vibaka, wanaosumbua mitaani kwa kuiba na kukwapua, Vibaka hao wanajiita watoto wa Mbwa jumla ya idadi yao ni 40 ambapo mpaka sasa Vibaka 6 wameshauliwa na wananchi wa Kiwalani.
Hadi mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe, matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.

1526639_562001980558611_1882455163_n
 Vibaka hao wakiwa wanachuruzika damu kutokana na kipigo kikali.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger