Search in This Blog

WATENGENEZAJI WA FILAMU YA TRANSFOMER KUTIWA MBARONI, SOMA SABABU HAPA

trans
Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki watengenezaji wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.
Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika taarifa yake kuwa watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao vizuri katika filamu hiyo kama walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moja ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger