Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia baada ya kufungua rasmi 
 barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami 
ikiwa na urefu wa kilomita 65.14 akiwa  na Bw. Daniel Wolde Yohannes, 
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), 
Balozi wa Marekani nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii  ya Tanga –
 Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani 
ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.  Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya
 Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge 
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma 
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri 
wa barabara.  Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za 
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
 za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 Rais
 Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kufungua  barabara ya Tanga – 
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa 
kilomita 65.14 akiwa ameongiozana na  Naibu waziri wa wizara ya ujenzi, 
Mhe Gerson Lwenge (kulia),  Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa 
Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani 
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, na mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe Chiku Gallawa 
(kushoto)  Barabara ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya barabara inayoiunganisha 
Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa wa Tanga.  Mradi huu 
umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia Mfuko wa Changamoto za 
Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC). Kukamilika kwa 
barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu ya Nne ya 
kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.  Aidha, kukamilika 
kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya
 na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja la Jumuiya ya 
Afrika Mashariki
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi  barabara ya Tanga – 
Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa 
kilomita 65.14 akisaidiana na Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu 
wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC), Balozi wa Marekani 
nchini Mhe Alfonso Lenhardt, Barabara hii  ya Tanga – Horohoro ni sehemu
 ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia 
mkoa wa Tanga.  Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia
 Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – 
MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya 
Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara. 
 Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati 
ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la 
Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kama kumbukumbu yaq 
ufunguzi rasmi  barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa 
kiwango cha lami ikiwa na urefu wa kilomita 65.14. Kuhsorto kwake ni Bw.
 Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia 
wa Marekani (MCC), na kulia kwake ni  Balozi wa Marekani nchini Mhe 
Alfonso Lenhardt, Barabara hii  ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya 
barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa 
wa Tanga.  Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia 
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
 Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu
 ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.  Aidha, 
kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya 
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja 
la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Bw. Daniel Wolde Yohannes, Mtendaji 
Mkuu wa Mfuko wa Changamoto za Milenia wa Marekani (MCC) na viongozi na 
wadau mbalimbali wakikata utepe kwa pamoja kuashiria  uzinduzi  rasmi 
 wa barabara ya Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami 
ikiwa na urefu wa kilomita 65.14.  Barabara hii  ya Tanga – Horohoro ni 
sehemu ya barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya 
kupitia mkoa wa Tanga.  Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani
 kupitia Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge 
Corporation – MCC). Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma 
ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri 
wa barabara.  Aidha, kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za 
kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa
 za Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Msafara
 wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ukipita juu ya sehemu ya barabara ya 
Tanga – Horohoro ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami ikiwa na urefu wa
 kilomita 65.14.  Barabara hii  ya Tanga – Horohoro ni sehemu ya 
barabara inayoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Kenya kupitia mkoa 
wa Tanga.  Mradi huu umepata msaada wa Serikali ya Marekani kupitia 
Mfuko wa Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation – MCC).
 Kukamilika kwa barabara hii ni utekelezaji wa azma ya Serikali ya Awamu
 ya Nne ya kuboresha miundombinu muhimu ya usafiri wa barabara.  Aidha, 
kukamilika kwa barabara hii kutapanua fursa za kibiashara kati ya 
Tanzania na Kenya na hivyo kutumia vizuri zaidi fursa za Soko la Pamoja 
la Jumuiya ya Afrika Mashariki. 
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment