Serikali ya Tanzania imeonywa vikali kuhusu mpango wake wa kupeleka
Vikosi vya Kijeshi kupambana na kundi la waasi wa M23 nchini Kongo DRC.
Katika barua yake kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete,
kiongozi wa kundi la M23 ameionya vikali serikali ya Tanzania kuhusu
mpango wake huo na kuitaka iusitishe mara moja.
Aidha kwa mujibu
wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa ichi zitakazopeleka vikosi vya
kijeshi nchini Kongo DRC ni Tanzania, Afrika ya kusini na Malawi.
Source DW Kiswahili katika habari za Afrika mchana huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment