
Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na mpinzani wake Raila Ondinga alipofika ikulu jijini Nairobi.
Makamu wa Rais William Ruto akisalimiana na Raila Ondinga (wa pili Kulia) na Kalonzo Musyoka( kulia) walipotembelea ikulu jijini Nairobi
Hapa ni furaha tu
Makamu wa Rais William Ruto akisalimiana na Kalonzo Musyoka( kulia) walipotembelea ikulu jijini Nairobi
Rais Uhuru Kenyatta (wa pili kushoto) akiwa na makamu wake William Ruto (kushoto) wakipiga picha ya pamoja na wapinzani wao Raila Ondinga (wa pili Kulia) na Kalonzo Musyoka( kulia) walipotembelea ikulu jijini Nairobi.
No comments:
Post a Comment