Lundo la uchafu uliotolewa kwenye
mfereji uliopo mbagala rangi tatu na kutupiwa pembeni ya mtaro huo bila
kuja kuzolewa na kupelekwa mahala stahili. Sasa hapa Ni sawa na bure
Mtaro kama unavyonekana kwenye picha baada ya kusafishwa kwa kutolewa uchafu na kurundikwa pembezoni mwa mtaro huo
No comments:
Post a Comment