Wakulima
wa Matunda Wilayani Makete Mkoani Njombe wameeleza kuwa Kilimo cha
Matunda ya aina ya Apple (sijui kimatumbi yanaitwaje) ni kilimo
kisichotumia mbolea wala madawa ya viwandani kama wanavyoonyesha
Wakulima hawa katika kijiji cha Ibaga wilayani Makete, kilimo ambacho
kimekuwa kikitoa ahueni ya maisha kwa wakulima hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment