Search in This Blog

MJAMZITO AANGUKA TOKA JUU GOROFANI MPAKA CHINI

 



Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi
Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatamsaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi Baada ya Kupata Mkasa Mzima..Stay tuned

No comments:

Post a Comment

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger