
Jamaa huyu kwa jina tumhifadhi baada ya kupigwa kibuti na demu wake inayosadikika ni beki 3 jamaa akaamua kugida viroba na kutoa nishai kwa kujrudisha chenchi bar maarufu sana hapa mjin Dodoma, shuhuda wetu alizidi kutuarifu kuwa jamaa huyo alishindia chai na mikate na kwenda kufakamia pombe kali ambapo wenzake wanakula vyakula vya maana kama vile nyama choma na vingine ving tu
No comments:
Post a Comment