Search in This Blog

WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI DSJ AFARIKI DUNIA KWENYE AJALI



Dereva Ali Kinyasi, aliyekuwa anawaendesha wanafunzi wa Chuo cha waandishi wa habari (DSJ) cha jijini Dar es Salaa, wakitokea mkaoni Mbeya kwa ziara ya kimasomo akiwa amefariki baada kutokea ajali ya kugogana uso kwa uso na gari alilokuwa anaendesha ain ya Coaster lenye usaji wa namba, T 231 BCT na Lori aina ya Fuso yenye namba za usajili, T 409 BTU baada ya kutokea ajali eneo la Chalinje, mkoani Pwani juzi usiku. Watu wawili walifariki katika ajali hiyo na majeruhi kadhaa.



Dereva Ali Kinyasi, aliyekuwa anawaendesha wanafunzi wa Chuo cha waandishi wa habari (DSJ) cha jijini Dar es Salaa, wakitokea mkaoni Mbeya kwa ziara ya kimasomo akiwa amefariki baada kutokea ajali ya kugogana uso kwa uso na gari alilokuwa anaendesha ain ya Coaster lenye usaji wa namba, T 231 BCT na Lori aina ya Fuso yenye namba za usajili, T 409 BTU baada ya kutokea ajali eneo la Chalinze, mkoani Pwani juzi usiku. Watu wawili walifariki katika ajali hiyo na majeruhi kadhaa.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger