Search in This Blog

BREAKING NEWS, MAJAMBAZ YAPORA KARIAKOO NA KUUA BARABARA YA UHURU

 
Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi leo na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo limetokea leo saa 11:16 asubuhi, MInavyosemekana mdada huyo  alikua akitoka benki ya crdb tawi la uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia. alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa waharifu hao.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger