Search in This Blog

BINAADAMU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AMEFARIKI AKIWA NA MIAKA 116, MTAZAME HAPA


Jiroemon Kimura wa Japan  ndiye binaadamu
 aliyeaminika kuwa ana umri mkubwa kuliko
 yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116
Aliwahi kuulizwa ni  nini siri ya mafanikio

yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kukliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka.
Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na 
amefariki 11 june2013
Tunajifunza nini kwa wajapan ??
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger