Search in This Blog

BOMU LA ARUSHA, WATALII 4,716 WAFUTA SAFARI ZA ARUSHA, WAENDA MOSHI NA NAIROBI

Zaidi ya watalii 4,716 waliokua waje katika(summer season)ya mwaka huu hapa Arusha wamefuta safari zao uku wengi wao wakienda kenya na baadhi sasa kwenda mkoa wa kilimanjaro(moshi)kisa ni usalama mdogo kutoka na uchaguzi wa madiwani unaoendelea.

Hii sasa ni hatari sana kwa ajira za vijana wa Arusha hasa sisi madereva tax na wasindikiza wageni!!


Huwa nina kawaida ya kupata breakfast pale metropole na miezi kama hii huwa panajaa sana wazungu pale ndani,lakini ata leo nimeenda wamejaa masai tu!!

Bomu la Arusha,watalii 4,716 wafuta safari za Arusha,waenda Moshi na Nairobi!!!!!

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger