Baada ya kufanya vizuri na filamu yake ya maduhu, hatimaye 
mwigizaji Simon Mwapagata ameanza kutengeneza Filamu yake mpya 
aliyowashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo mrembo kipenzi cha wengi 
Wema Abraham Sepetu.
Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu hiyo unaoendelea maeneo 
mbalimbali ya jijini Dar es salaam, Rado (Simon Mwapagata) amesema kuwa 
Filamu hiyo itafanyika mjini Dar es Salaam na baadaye mkoani Tanga.
Ndani ya Filamu hiyo, yupo mwigizaji mwingine mkongwe Deogratious Shija na Sudi…
Tazama picha za utengenezaji wa Filamu hiyo hapo