Search in This Blog

MSANII MKONGWE KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA ''JONI WOKA'' BAADA YA KUNYOA RASTA

 MSANII Huyu aliekonga nafsi za wengi na kujizolea Furushi la mashabiki kwa kuimba staili ya kulewalewa Anatambulika kwa Jina la ''JONI WOKA'' Sasa aamua kunyoa Rasta na kubalidili muonekano, Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi wa mdadisimambo.blogspot.com aliulizwa kuhusu mziki akasema Yupo kwenye maandalizi makubwa na kwa leo hawezi kusema chochote kuhusu mziki. Sasa Hebu angalia maoni yalivyoporomoka hapo kwenye picha hii hapa chini, Hio ni katika ukurasa wake wa Facebook.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger