Search in This Blog

MSANII ''MBOTO'' ADONDOSHA WINO LEO TENA MEDIA


Hatimaye msanii mchekeshaji machachari kutoka Swahili Wood''khadji Salum almarufu kama Mboto'' Aingia mkataba na Kampuni ya ''LEOMEDIA'' inayoshughulika na usambazaji filamu nchini, Mnamo tarehe 20/JUNY 2013 siku ya
alhamisi Msanii huyo alisainishwa mkataba wa mwaka mmoja.Akihojiwa na mwandishi  alisema amemsainisha mkataba wa mwaka mmoja msanii huyo kwa lengo na dhumuni la kufanya kazi zenye mchanganyiko wa ladha tofauti tofauti za wasanii wenye vipaji.
MSANII ''Mboto'' akijiandaa kudondosha Sign hapo! Kulia ni Production manager wa kampuni ya LEO MEDIA ''geofrey kusila''Ambaye pia ni muigizaji wa filamu kama anavyoonekana katika kava hapo chini ambalo ni moja ya kazi alizosambaza kupitia kampuni yake. 
Mahojiano yalifanyika kupitia ujumbe mfupi wa simu ya kiganjani kama tunavyoona hapa chini
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger