JESHI LA POLISI LATOA ONYO LA KUTOFANYIKA KWA MAANDAMANO YA CUF KWENDA IKULU DAR ES SALAAM, KUMBE SABABU NI..
JESHI la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limetoa onyo la kutofanyika
maandamano ya CUF kwenda Ikulu na endapo watalazimisha kuandamana hatua
za kisheria zitachukuliwa.
Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es
salaam CP Suleiman Kova amesema Tanzania itakua mwenyeji wa ugeni
mkubwa wa kimataifa uliwemo wa ushirikiano kwa manufaa ya wote ambao
utauhusisha maraisi 14.