Katka hatua hii unaona jinsi panya anavyoandalia katika hali nzuri ya usafi tayari kwa kukatwa katwa
hapa muandaaji anahakikisha yale manyoya manyoya yameisha ili yasimbughudhi mlaji wa kitoweo hiki hapa waandaaji wanakagua kama kuna kitu kimebaki ili waanze kuwa kata kata waandaaji wakikatakata panya katika vipande vipande tayari kw kurostiwa hapa akikaangwa aada ya kukatwa katwa katika hatua hii unaweza kula kama unasupu kwa pembeni Huwezi amini kama huyu ni panya maana katika hali hii amekaushwa tayari kwa kuliwa hatua za mwisho katika uandaaji wa meza tayari kwa kula Watu wengi wamekuwa na ile mila kwamba panya huwa haliwi lakini kuna baadhi ya makabil hutumia hii kitu kama kitoweo ki ukweli ni watamu sana hawa akiandaliwa vizuri kama ambavyo unaona hapa tuondoe ile dhana potofu kwamba viumbe vingine haviliwi