HUYU NDIO MDADA ALIYEMSABABISHIA TID KUSWEKA MAHABUSU
Khaleed Mohamed 'TID' na Mariam Nnauye
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu
katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na
polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni
mpenzi wake, Mariam Nnauye.