Search in This Blog

MSANII BARNABA TANGU ALIPOPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI...AMESHINDWA KULA, ANAKESHA AKILIA KWA UCHUNGU.

Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki.mungu mjalie ndugu yetu mpe nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.
R.I.P mama BARNABA, Maziko ni kesho saa 10 katika makaburi ya mburahati,kuanzia asubuhi saa 5 tutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama barnabas.


 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger