Search in This Blog

VIDEO: MEYA WA MJI WA KAMPALA ALIYETUPIWA BOMU LA MACHOZI KWENYE GARI LAKE NA FFU




MEYA wa mji wa Kampala nchini Uganda, Erias Lukwago, amelazwa hospitali baada ya kupigwa na kutupiwa bomu la machozi ndani ya gari lake. Inasemekana Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) nchini humo ndiyo waliohusika na tukio hilo la kinyama.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mmojawapo wa FFU a.k.a (Kina Ras Makunja) alitumbikiza kombora katika gari la mheshimiwa na kumsababishia maumivu makali.
Meya huyo ambaye ni mpinzani wa rais wa Uganda, Yoweri Museveni, alikuwa katika maandamano na wafuasi wake mjini Kamapala kabla ya kushambuliwa na kupigwa na polisi hao.

VIDEO HAPA:

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger