Search in This Blog

NANI KASEMA MICHEZO INA KUZEEKA?

Johanna Quaas, 86-Year-Old Gymnast, Performs At Cottbus World Cup In Germany

Bibi Johanna Quaas mwenye umri wa miaka 86 ameamua kuendeleza fani yake ya miaka 30 ya kucheza michezo mbalimbali ikiwemo kuruka na kupekecha ingawa tayari ana mvi nyingi kichwani na pia umri wake hauruhusi kabisa kucheza mchezo wowote zaidi ya kulala na kumpumzika tu.Hii ilikuwa ni mwaka jana katika kombe la dunia la Cottbus huko Ujerumani ambapo bibi huyo aliwashangaza watu mbalimbali waliokuwemo uwanjani hapo kwa kuruka na kujiviringisha staili mbalimbali katika uwanja wa maonyesho bila kutetereka kabisa.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger