Dj akiwa tayari tayari kwa kuangusha Bonge moja la Burudani.
Mabaunsa wakiwa tayari washajipanga kwa kazi moja.
Mlangoni mambo yako namna hii,kama huna tiketi inakula kwako.hata hivyo kiingilio ni buku 2 tu (elfu mbili ya kitanzania)
Hii ni Foleni ya Kuingia uwanjani hivi Sasa.
Sehemu ya kukatia tiketi nako mambo yapo namna hii,yaani ni full Kikwetu kwetu.....!!
Wako kwenye foleni ya kuingia.
Hata hawa jamaa pia wako hii ni katika sehemu ya kuhakikisha ulinzi umehimarika.
Wazee wa East Afrikan TV wakiwa kamili kamili Uwanjani hapa.
Kamera Man wa EATV mzigoni
Wazee wa kazi
"Asie na Tiketi asisogee hapa..."
Wakazi wa Dodoma wakiwa wamejitokeza kwa Wingi ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
LINEX kwa stage

roma

Dula na zebwela kwenye stage walisimamia show


Wapenzi wa burudani dodoma wakiingia katika uwanja wa jamhuri dodoma kwa wingi sana.
Aliyefungua omesho alikuwa Linex Sunday Mjeda
Jamaa huwa anaimba kwa hisia kali sana
...aga...
Kazi sasa...
Ben Pol
Kwa kuzikata huyu nae...
Nyomi bado liko pale pale...
Kulikuwa na mtiti balaa, mtu kibao si unajua zile?
Kidume cha Hip Hop Tanzania kwa mujibu wa tunzo za Kili 2013 Kala Jeremiah..
Hip Hop swagg
Deejay Choka
Roma Mkatoliki naye
..mistari tu...
ShowLove ya Jide na Irene Kiwia
Jide sasa..
Prof Jizzle!
Mzuka wa Joto hasira
Mzuka wa Profesa ulikuwa si wa kawaida jioni ya leo
...na show ikaishia hapo..