Waigizaji
waliopo orodha A kwenye kiwanda cha filamu nchini, Vincent Kigosi ama
Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location wakishoot movie yao mpya
ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka sasa kutokana na sababu
zilizo nje ya uwezo wetu.
Katika
picha picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za mtandao mmoja wa
kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.
“Siye
tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray
mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika
Wolper kwenye moja picha hizo.
Filamu hii inatengenezwa na kampuni ya RJ company iliyoshinda tuzo ya best production house kwenye tuzo zilizotolewa na kampuni ya usambazi wa filamu Tanzania Steps Entertainment Limited