BAADA YA WEMA KUWEKA PICHA HII KATIKA INSTAGRAM, FANS WAKE WAMPONDA VIBAYA.
Haya ni baadhi ya maoni:nanchesca5 Girl, I’m not trying to fix you,But this is the holy month.Keep it calm.It won’t hurt.princesswawiey R u sure…ur a muslim? 1khadijaumumustafa Wewe ni binti wa aina gani usieogopa mwezi
mtukufu wa ramadhan ama kweli umeshindikana kabisa hata nachanguduwa
uheshim huu mwezi ila wewe ni zaidi SubhanaLLAH.sweettuma Punguza picha za hivyo vastaraa mwez ukiisha vaa utakavo jst jistir kwamda mfup hailet picha nzur .mamu30 mhuu wema wangu ulivyokuwa na damu ya kunguni kesho
tutaikuta hii picha kwenye mablog itakuwa gumzo ooh wema haheshimu mwezi
mtukufu kumbe picha ya sikunyingi wao watadhani ndio unavyovaa hivi
wakati wa mfungo lol hazole Mnaolalamika mwezi mtukufu just unfollow her thn mwezi ukiisha rudini #GivePeopleSpaceToBreath husnaomary Muislam mzma hata haushim mwez mtukuf wema….emu
muogope Allah….picha gn hii na ramadhan hii….innallillah…nakupenda wema
bt kumbuka kuwa huu mwez mtukuf…..heshma ishke mkondo wake…dis z Dunia
baby…ickushikilie akili yako….nakupenda ndomana nakwambia.hapnicole Mwenyezi Mungu anasema uwe msafi siku zote nd sio mwezi
mmoja tu huo ni unafiki so bora yeye kuliko wewe unae mjaribu yeye kwa
mwezi mmoja tu ni mtazamo sele_yg Unanitega mwezi mtukufu.. noranuru what..ndo kuwatamanisha watu au ,mmh shoga namwezi huu wote..huchoki?