Search in This Blog

HAYA SASA CHADEMA WASEMA MAFUNZO YA KUUNDA JESHI LA CHADEMA KUANZA WIKI IJAYO

Mh. Benson Kigaila amesema makambi kwa ajili ya mafunzo ya RedBrigade yataanza wiki ijayo. Jeshi hilo litaundwa kwa madhumuni ya kuwalinda viongozi wa chama cha chadema.
Jeshi la polisi Tanzania pamoja na Rais Jakaya Kikwete wamekuwa wakikemea undwaji wa vingundi vya ulinzi kwasababu vinaweza changia katika upoteaji wa amani.
Chadema wameamua kuunda kikundi chao cha kuwalinda kwa sababu viongozi wao pamoja na wanainci wamekuwa wakipigwa mbele ya jeshi la polisi

 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger